Tuesday, April 13, 2010

RDA get together VHL





HAPA KALIKUWA SHANGWEE, ni kukutana kama wanadarasa na kula pamoja, tulicheza na kufurahi kweli kweli.

Kuburudika nako muhimu sana.





Ni mambo ya kuburudika baada ya shunguli ngumu ya kupekua vitabu, ila huku bwana kuna mambo yake. Hapa nilikuwa International clup, najiba raha mwenyewe.Uzuri ukiwa na kibao kikali unaweza ukaomba na kikabigwa mkaruka wote, si una jua tena mambo ya gwasuma!!!

Nayo shule huwa ina bana kweli kweli



Shule na mambo yake wakati mwingine yatupasa kuwa na uwakilish wa mada, kama unavyo ona nawajibuka, ila ndo hivyo kujianda na uwajibikaji baadae makazini.

Kuna baiskeli ya ajabu



Nikaona ni vyema nayo niifahamu, maana kila jambo lina raha yake, pamoja na uajabu wake.

Tuesday, February 2, 2010

love is within a person's heart



Love is everything...... love is within a person's heart.. ,follow the heart... Love someone who cares.

Time to rest after lectures

Thursday, January 28, 2010

Moments of comfort & convenience


“The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort & convenience, but where he stands at times of challenge and controversy"

Saturday, January 23, 2010




It is Paris- France (City of lights)

Barafu,



Ni wakati mgumu sana ila inatupasa kuvumilia na hakika nimejifunza mengi sana sana.

Friday, January 22, 2010

My relatives