Tuesday, April 13, 2010

Kuburudika nako muhimu sana.





Ni mambo ya kuburudika baada ya shunguli ngumu ya kupekua vitabu, ila huku bwana kuna mambo yake. Hapa nilikuwa International clup, najiba raha mwenyewe.Uzuri ukiwa na kibao kikali unaweza ukaomba na kikabigwa mkaruka wote, si una jua tena mambo ya gwasuma!!!

No comments:

Post a Comment

My relatives